Wednesday, November 27, 2013

MMC CAR WASH Yajitosa mtandaoni

Tunayo furaha kubwa kuwatangazia wateja wetu kuwa tunzindua blog yetu sambamba na page za facebook na twitter zenye malengo ya kuwaleta pamoja wateja wetu kuweza kushare taarifa sambamba na kuto maoni ya maboresho ya huduma zetu zipatikanazo hapa MMC CAR WASH